Thursday, November 18, 2010
Kiberenge
Huu hapa ni imbo wangu mpya unakwenda kwa jina la kiberenge unedited.Nitabandika mashairi baadae.
Monday, November 8, 2010
The revival
It was nice to see liverpool win again yesterday. It wasn't just a win, it was a win against Chelsea. Yes a win against a team that is in top form I just love it. I hope this was a sign of getting of the trouble beginning.I hope to see more and more back to back wins. You will never walk Alone.
Maisha yanaendelea
Baada ya uchaguzi kwisha na raisi kuapishwa maisha yanaendelea. Kama kura walichakachua it's too late kufanya chachote juu yake na mimi kama kawa narejea kwenye fani.
Basi kabla sijatundika track yangu mpya inayokwenda kwa jina la kiberenge ngoja niwarudishe nyuma kidogo na kupandisha track ya Tupo Huru. Maudhui yanakaribiana lakini lugha inatofautiana. Utaelewa zaidi baadae.

Tuesday, November 2, 2010
uchaguzi na mimi
Hongera watanzania kwa kufanya uchaguzi wa amani. Hongera washindi wa majimbo ambao wameshatangazwa hadi sasa, mr 2, Mbowe, Mrema , Nyerere, Zito Kabwe na wengineo.
Subscribe to:
Posts (Atom)