Baada ya uchaguzi kwisha na raisi kuapishwa maisha yanaendelea. Kama kura walichakachua it's too late kufanya chachote juu yake na mimi kama kawa narejea kwenye fani.
Basi kabla sijatundika track yangu mpya inayokwenda kwa jina la kiberenge ngoja niwarudishe nyuma kidogo na kupandisha track ya Tupo Huru. Maudhui yanakaribiana lakini lugha inatofautiana. Utaelewa zaidi baadae.
No comments:
Post a Comment