Saturday, September 8, 2012

Mauji ya Wezi Tanzania

Wiki iliyopita mwandishi wa habari aliuwawa kinyama kule Mbeya. Mauaji yake yameniacha nijiuliza maswali mengi kuhusu suala zima la kujichukulia sheria mkononi. Kwa nini mpaka leo watu wanaendelea kuuwawa kwa kupigwa mitaani na suluhisho lake ni nini? Wengi wetu tunafahamu ya kwamba si kila mtu anayetuhumiwa kuwa ni mwizi ni kweli alitenda kosa hilo, sasa kwa nini tunaendelea kufanya kitendo hiki?Naomba uniandikie maoni yako
 

2 comments:

  1. Tatizo ni umasikini, tunafanya kazi kwa nguvu kutafuta halafu mjinga mjinga anaamua kupitia. Nini zaidi ya kumbonda mawe?

    ReplyDelete
  2. Umasikini sawa nakubali,lakini maisha ya mtu yasamani sawa na kuku aliyemuiba? tafakari kwanza

    ReplyDelete