Saturday, October 27, 2012

Ngoma Ngondoigwa.Aleyfex-free style


Hii ni kuwakumbusha tu tu ukiona kobe kainama kichwa ujuwe anatunga sheria. Mziki bado unaendelea ingawa inaonekana kama nipo kimya ni kwa sababu nafanya kazi zaidi ya kuboresha midundo kabla ya kurudi kwenye kipaza sauti.
Pamoja

No comments:

Post a Comment