Sunday, July 1, 2012

Nani kunyakua ubingwa wa ulaya?

Ule wakati wapenzi wa mpira tulikuwa tunausubiria kwa hamu umewadia. Mtanange wa kukata na shoka, malumbano kama kawa kabla ya mpambano kuanza na masimulizi yatakayosimuliwa kwa muda mrefu mbele. Swali ninalouliza nani atanyanyuka kidedea leo?

4 comments:

  1. Italy bingwa 3 bila mazee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haha wewe uliyesema tatu bila,ulimaanisha tatu mbili?

      Delete
  2. Spain wakali wewe, Italy haiwezi

    ReplyDelete
  3. Spain wanafanya mambo.pole Italy

    ReplyDelete