Brazil imesema inatafakari kuisamehe Tanzania deni la Dola za Marekani milioni 240 (Sh. bilioni 332) ambalo serikali ilikopa mwaka 1980.
Hii Imeripotiwa kwenye gazeti la Nipashe. Baada ya kusoma mkopo wenyewe ulikuwa wa kiasi gani ulipotolewa nikabaki na swali moja, hayo madeni mangine yanafananaje? Hivi kweli umasikini utakwisha kama tunakopa shilingi kumi na kurudisha laki? Serekali inabidi iwe wazi kuhusu madeni mengine yanayoikabili nchi sio kutuburuza kwenye madeni ya mikopo ya kiwenda wazimu.
No comments:
Post a Comment